Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Hamza muda ule alijiuliza au ule mchanganyiko wa dawa walioweza kuutengeneza kupitia Earth Axis umekuwa na madhara yake? Hakuwa na haja ya kuuliza zaidi kwani pale pale alikimbia pamoja na Eliza kwenda wodini.

Mara baada ya kuingia ndani ya wodi hiyo waliweza kumuona mgonjwa akiwa anajipinda pinda na kutetemeka kama vile ana kifafa, huku akitokwa na jasho jingi. Mgonjwa alikuwa na mwonekano kama wa maumivu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next