“Kwanini hukuwagawia? Kilikuwa kipande cha kubaki tu hata hivyo,” aliuliza yule bwana mara baada ya kuketi chini.
“Wakati nikiwa katika umri wao, hakuna mtu aliyewahi kunipatia kitu bure. Kama nisingepambana kupata chakula changu, ningekufa njaa. Kama nisingewashinda wengine, nisingekuwa hai. Naweza kuwasaidia leo, kesho... lakini kesho kuTwa naweza nisiwepo. Wakikosa tena, ndio wanakufa?”
“Fallen, miaka mitano iliyopita haukuwa hivi. Inaonekana umebadilika sana siku hizi,” aliongea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments