Mvua iliendelea kunyesha usiku kucha na haikutaka kabisa. Mwili wake wote ulikosa nguvu na maumivu kwenye kifua chake yalimwambia kwamba bado alikuwa hai. Majeraha aliopata usiku yalikuwa ni makubwa sana na alitegemea tu nguvu zake za nishati kuzuia kutotoka damu.
Kama asingekuwa kijana , kama asingekuwa na mafunzo ya juu ya nishati za mbingu na ardhi angekuwa ameshakufa.
Lakini kuamka kwake hakukuwa kwa kawaida , …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments