Bianca alionekana kutegemea ujio wa polisi kutokana na kile Jimmy aliwafanya Beka na walinzi wake lakini hakudhani ingekuwa ni mapema hivyo
"Tafadhari naomba utoe ushirikiano vinginevyo tutatumia nguvu" aliongea askari alipomsogelea Jimmy
Jimmy alishusha pumzi nyingi kisha kusimama na kumnyooshea mikono na askari bila kuchelewa alimfunga pingu
"Sawa sikatai kuhusu kushambulia maana walistahili lakini kuhusu unyanyasaji unakosea, hivi unajua kuhusu unyanyasaji afande?" Jimmy aliuliza akimwangalia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments