Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Sehemu ya Tano:

Ayubu alikimbia mithili ya chui anayewindwa. Moyo wake ulikuwa ukipiga kwa kasi, miguu yake ikipiga lami kwa nguvu, huku akihisi baridi ya usiku ikipenya kwenye ngozi yake. Risasi zilikuwa zimeshapigwa ndani ya duka la RAMBO ACCESSORIES, na hakutaka kubaki ili kujua nani alipigwa na nani alinusurika.

Alikatiza vichochoro vya Tandale, akiruka juu ya maboksi, akiteleza kwenye madimbwi ya maji machafu, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next