Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Jimmy alikuwa ni wa tahadhari mno, ukweli alishamuona tangu anachomoa bastola na ile risasi inafyatuliwa kumlenga mguu sehemu ya paja alichofanya ni kuweka pingu sehemu ambayo risasi inalenga kwa ustadi na haraka

"Ting!" mlio wa mnyororo mdogo unaounganisha pingu kugongana na risasi ulisikia na risasi kudondokea upande mwingine

Pingu aliyofungwa Jimmy ilikuwa ni imara sanaa, chuma chake kilikuwa ni kigumu hivyo hata mnyororo wake …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next