MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Nikaenda kupata kiamsha kinywa. Kama ilivyoonekana kuwa kawadia, vyakula vingi viliandaliwa mezani kwa ajili ya kujichagulia, na wapishi wakiwa kando kutusogezea kila tulichokitaka. Nilikaa kando yake madam nikila kwa utulivu, na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments