Don mswahili pia alikuwa akipambana ili kupata pesa ya kuweza kula na kuishi vizuri isitoshe yeye pia alikuwa ni yatima na vilevile alikuwa akimuingizia kipato boss wake aliyemtoa mtaani
Yeye alikuwa akipigana hadi kuua kabisa wavulana wenzake ambao wengi wao alikuwa amewazidi umri na kama zifa kuwaua aliwajeruhi vibaya mno yote hayo ni ili kumtia hasara boss wa hao watoto na kupata bonus kutoka kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments