Walikuwa ni watu wawili waliokuwa wakisogea katika eneo hilo, wote wakiwa katika mavazi ya gwanda za rangi ya fedha. Walikuwa ni askari wa madhabahu, na wote walikuwa na silaha zao kiunoni. Haikuhitaji elimu kubwa kufahamu kuwa walikuwa ni watu wa Mahakama Takatifu.
“Taloni! Hebu angalia, kuna nyayo nyingi za miguu upande huu,” aliongea askari mmoja kwa Kiitaliano huku akinyooshea nyayo zile.
“Gary, hizi ni nyayo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments