Ni lisaa limoja limepita tangu jimmy arudi nyumbani na alikuwa ameshamaliza kula na kuzungumza mawili matatu na mamaye na muda huo alikuwa amekaa sebuleni ametulia tuli peke yake
Muda ulikuwa ukisoma saa kumi na moja na nusu, wakati akiwa ametulia ghafla zuhura aliingia ndani na kwenda moja kwa moja mpaka kwa Jimmy na kusimama mbele yake
Upande wa Jimmy alikuwa amekaa kwenye sofa akiegemea na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments