Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Ezra

Kwa ufupi, siku hiyo hawakupumzika kabisa mara baada ya mgonjwa kuamka. Lilikuwa jambo la miujiza kwa mgonjwa ambaye alikuwa mahututi kwa muda wa miaka mitatu na kuamka akiwa na afya nzuri.

Eliza alikuwa na furaha — kwake ilikuwa kama ndoto kumuona mama yake ameamka. Kipindi kabla hajakutana na Hamza, tayari alikuwa ameshakata tamaa kabisa, akiamini kuwa mama yake hawezi kuamka tena.

Hata ndugu zake, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next