Hamza, mara baada ya kupigana vita takatifu na kujitoa kwa kiasi kikubwa kwa ajili ya washikaji zake, ilikuwa ngumu kwa watu hao kumkataa chochote.
“Kama una changamoto yoyote, wewe ongea moja kwa moja. Kama nina uwezo wa kukusaidia nitakusaidia. Haina haja ya kuuliza maswali mengi.”
“Ndiyo, ndiyo. Suala lenyewe liko hivi: nadhani ushasikia kwamba biashara zangu kubwa zinatokana na madili mengi nje ya nchi. Sasa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments