Hamza alijikuta akijawa na shauku palepale ya kutaka kujua ni kitu gani kilikuwa ndani ya hicho kiboksi.
"Usiniambie hiki ni kitu kilichoachwa na babu yako?" aliuliza Hamza.
"Ndiyo tunavyohisi, lakini hatuna uhakika kama mmiliki alikuwa babu mwenyewe. Ukweli ni kwamba kitu hiki ni kama ile ramani tu, hatuna uelewa wowote," alijibu Dr. Bridge.
Hamza, mara baada ya kusikia hivyo, alichukua kiboksi na kukifungua.
Ndani yake kulikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments