Nyuma yake kulikuwa na mtu amesimama kwenye paa hiyo, alikuwa ni mzungu mwenye mwili kama wa Roman reigns mcheza mieleka wa Marekani, alikuwa amevaa nguo nzito na kujifunika mitambaa mzito kama vile mmaasai
Mtu huyo alikuwa na nywele ndefu za rasta na mkono wake wa kulia alishika fimbo ndefu sawa na kimo chake na katika fimbo hiyo juu kabisa kulikuwa na jiwe la madini rangi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments