Reader Settings

Muda ule Hamza ndio alijua bwana huyo ndio aliyefahamika kwa jina la Wall ambaye ndio kiongozi na mkurugenzi anayetaka mabadiliko. Hamza hakuona uwezo aliokuwa nao Wall ila kwa haraka haraka alionekana wa kawaida sana.

"Kumbe! Basi unaweza kuwasha boti tunataka kuondoka muda huu." Mara baada ya kusikia Hamza ni ndugu wa mwanachama mpya, Director Wall alimpotezea kabisa.

"Mkurugenzi, kikao kwani kimeisha?" Aliuliza Toha.

"Hao wazee …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next