Hamza aliishia kumwangalia Mr. Air ambaye alikuwa ameshikilia kichwa na kuhisi kujutia. Kila kitu kilitokea kwa spidi tena na hakuwa na muda wa kufikiria.
Kama angejua mapema hicho ndio kinachokwenda kutokea, angeingia mara moja na asingesubiri kuendelea kusikiliza maneno yao.
"Za siku nyingi Serena?" Aliuliza Hamza.
"Umefika mpaka hapa... Lucifer nimekukubali. Umewezaje kujua nipo huku?" Aliongea Serena akiwa na tabasamu ambalo halikuwa tabasamu.
"Tena hata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments