Reader Settings

DOSARI

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA TISA

★★★★★★★★★★★★★

Baada ya kuwa amekamatwa, Morgan alipelekwa na maaskari kwenye hospitali kubwa kupatiwa matibabu kwanza, ikiwa alihitajika kuondolewa risasi iliyompiga pajani na kisha apelekwe rumande. Haikuwa chini ya masaa mawili na tararibu hizo zikakamilika, akafungwa bendeji mguuni, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next