Nguvu ilikuwa ni kubwa sana kwa D'sullivan kuhimili kiasi kwamba alianza kupiga mayowe maana mkandamizo huo ulikuwa ukimuathiri mifupa na misuli yake iliyokaza kushindana na nguvu hiyo.
Licha ya kuugulia maumivu hakuonekana kukata tamaa na alianza kunena kilugha tena kwa tabu sana na kadri muda ulivyozidi kusonga lile jiwe la kijani ghafla likaanza kubadilika rangi kutoka kijani kwenda nyeusi na ghafla moshi mweusi ulitoka kwenye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments