Reader Settings

"Ether!" Aliongea Mr Air huku akisita kidogo na kisha akaendelea, "Kitu unachokitafuta ni Ether, si ndio?"

"Ndio, jengo lenu la mahali patakatifu lina Ether.." Aliongea Serena ambaye macho yake yalichanua.

"Ether ndio nini?" Aliuliza Hamza, alijua jina hilo ni la mtu.

"Katika historia ya Adepts, inasimuliwa kwamba mwanachama wa kwanza kabisa hakuwa binadamu. Ndio mtu ambaye ameumba dunia hii. Ukisikia Ether ni elementi za msingi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next