Reader Settings

Irene kusikia vile alifurahi mno huku akijigamba kwamba hatomsumbua sana Hamza kwa muda mrefu.

Baadae jioni, Regina na Fionna waliondoka huku baba yake Irene akiondoka pia.

Hamza alimfuata Irene kwenye chumba chake ambacho alipatiwa hapo nyumbani na kumwangalia akitoa vitabu vyake.

"Dogo ni Kiingereza gani rasmi hicho huelewi? Leta muktadha nikuelekeze nataka nikaoge," aliongea Hamza.

"Naona hutaki kabisa kuwa na mimi karibu. Ni muda gani …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next