Wale wanajeshi wa kizungu, waliamini kwa kuwa na miili mikubwa iliyojengeka kimazoezi ingekuwa rahisi kuwadhibiti wale vijana wa Chatu, lakini matokeo yake ilikuwa tofauti, kwani walikuwa na nguvu kubwa mno na spidi yao ilikuwa sio ya mchezo.
Muda ule mara baada ya mlinzi wa Kimarekani anataka kumtia ngumi mlinzi wa kikosi cha Chatu, ngumi ile ilikwepwa huku kwa wakati mmoja kijana yule akienda hewani kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments