Reader Settings

Dina alikuwa na furaha na mshangao kwa wakati mmoja. Aliishia kushika mkono na kuongea kwa furaha;

"Hubby umekuwa bize sana siku za hivi karibuni. Unaonaje tukitumia wasaa huu mzuri wa usiku kuwa pamoja, kula na kunywa, sawa?"

Bila shaka Hamza hakuwa na pingamizi. Siku za karibuni alikuwa akikimbia huko na huko na sasa aliona ni muda wa kukaa chini na wanawake zake na kuwaonyesha uwepo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next