Mwanaume yule hakusubiri kabisa kuona msichana huyo akimaliza kauli yake na mara moja alimfukuza.
Yule msichana mwili wake ulitingishika kidogo na kisha akainamisha kichwa chake chini kwa namna ya heshima au hofu.
"Binamu... nime... kuna kosa nimefanya?" Aliuliza yule msichana.
"Belda. Nimekuagiza kwenda kununua chakula ndani ya saa moja. Lakini imekuchukua zaidi ya saa kununua chakula hapo karibu tu, ulikuwa ukifanya nini?" Aliuliza yule mwanaume.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments