Hamza alijiambia, kwanza huyo bwana ambaye anataka kumuoa, hela zenyewe hana, kwanini amuone mwanamke mzuri kama Airami bila chochote. Alijiambia anastahili kukimbiwa.
Hamza alikuwa akisemezana na nafsi yake huku akihisi kifungua kinywa utamu wake ukiongezeka. Mara baada ya chai alichukua gari na kuanza safari ya kwenda kwenye kituo cha watoto.
Mara baada ya masaa mawili, hatimaye aliweza kufika na alimuona Madam Wadeni akiwa ameshikiliwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments