DOSARI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI
★★★★★★★★★★★★★
Muda ukaendelea kutembea, mpaka kufikia saa saba mchana tayari baadhi ya fununu za mambo yaliyotokea usiku uliopita zilianza kusambaa kupitia vituo fulani vya redio mpaka runinga. Ilisemekana kwamba diwani fulani alivamiwa nyumbani kwake na majambazi kadhaa, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments