Herman mara baada ya kumsikia yule mzungu John akitamka maneno hayo alimwangalia kwa macho makali na kisha akaongea akiwa siriasi.
"Kama hutaki kufa, ondoka hapa," aliongea.
John alijikuta akishikwa na mshituko, macho aliyokuwa nayo Herman na msisimko alikuwa akisambaza ulimfanya ahisi presha kubwa. Isitoshe Herman alikuwa ni mpiganaji mwenye mafunzo ya nishati ya mkandamizo wa nafsi.
"Herman!!!" Aliita kwa nguvu Fionna akionekana kukasirishwa na kitendo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments