Awamu ya shambulizi hilo, lilikuwa limeungana na mnurisho fulani wa rangi ya dhahabu uliokuwa ukimtoka Herman na ilitengeneza mzingo wa eneo kubwa na nguvu zake zilikuwa kubwa mno kuliko mwanzo.
Mkono wake ulibadilika kutoka kuwa wa kawaida na kuonekana kama mkono mkubwa hewani ukimsogelea Hamza kwa namna ya kumfunika kama vile anadondokewa na mti.
Mbinu hiyo ya mafunzo ya mapigano safi pamoja na nishati za …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments