Reader Settings

MIAKA MITATU NYUMA, JAPAN

Kuna mkusaanyiko wa visiwa 14,125 ambavyo huunda nchi ya japan, lakini vilevile kuna visiwa vitano vikuu ambavyo ambavyo huitambulisha nchi hiyo kimataifa, Tukiachana na hivyo visiwa vitano katika maelfu ya visiwa kulikuwa na kisiwa kimojawapo kilichojitenga mbali na visiwa vingine

Kilikuwa na ukijani uliopitiliza na mazingira yake yalivutia na kupendeza macho, katika kisiwa hiko kulikuwa na miti mingi kiasi kwamba ilikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next