Reader Settings

Joseph aliamka siku ya Jumapili akiwa na hamu isiyo ya kawaida. Moyo wake ulijaa matumaini na msisimko. Alihisi kama kila kitu kilikuwa kinajiweka sawa katika maisha yake. Kwa mara ya kwanza, aliona dira ya maisha yake ikiwa wazi. Alikaa kitandani kwa muda mfupi, akitafakari jinsi ndoto yake ilivyokuwa ikikua hatua kwa hatua. Hakuwahi kufikiri kuwa KGC ingefika hatua ya kushindania tuzo, kushinda, na sasa kuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next