Joseph aliamka siku ya Jumatatu akiwa na nguvu mpya. Siku hiyo alikuwa na ratiba ya kufanya mahojiano na mwanafunzi mmoja wa mwaka wa pili ambaye alionyesha uwezo mkubwa kwenye masuala ya graphic design. Alikuwa akitafuta mtu wa kusaidia kubuni nembo na matangazo kwa wateja wa KGC jijini Dar es Salaam. Alijua kuwa huwezi kufanya kila kitu peke yako, hasa unapokuwa na ndoto kubwa kama yake. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments