“Haya sasa ameondoka , nini kinaendelea?”Aliuliza
Hamza alitembea mbele na kisha alinyoosha mkono wake na kunyanyua kile kitabu na kukiangalia.
“Hiki kitabu , ni wapi umekitoa?”
“Wewe unaonaje?”
“Ni kama nilivyotarajia.. umesema hiki kitabu umepewa na babu yako na ndio alichokipenda , ila mbona kama ni uongo?”
“Wewe unajuaje ni feki?”
“Kwasababu kitabu halisi ,nakimiliki mimi”Aliongea Hamza na Regina mara baada ya kusikia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments