Reader Settings

Kama mwanaume alipaswa kutimiza ahadi zake alizokubali mwenyewe, lakini katika hali hiyo ilikuwa ngumu mno. Upande wa Afande Simba, alikuwa akimwangalia Hamza akitaka kujua maamuzi yake.

Macho ya Hamza yalibadilika-badilika, muda mwingine yalionyesha nia ya kutaka kuua, muda mwingine yalionyesha kuhangaika kuzuia pepo la mauaji lililomvaa.

Regina alipoona hivyo, haraka sana alimsogelea Hamza na kumshika mkono.

"Hubby, muache tu aende kwa leo. Pia, utapunguza hio …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next