Hamza, mara baada ya kumwangalia mke wake jinsi alivyoonekana kupendeza, alijikuta akimeza mate mengi.
“Naonekanaje? Au nitatia aibu ukitembea na mimi na uvaaji huu?” aliuliza Regina kwa furaha, akimwangalia Hamza aliyekuwa amezubaa.
“Unaonekana kama yule binti...” Hamza aliongea kwa kusitasita.
“Kama nani?”
“Namaanisha, mke wangu, unafanana na binti mdogo,” Hamza alijitetea kwa haraka. Kiumbe aliyekuwa akimfikiria ni mwanamke aliyewahi kukutana naye, mwanamke aliyempa ile pete. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments