Reader Settings

Kupuuzia hisia zake likawa kosa la kwanza kwa sababu wakati anasimama kuna mtu alikatiza barabara kwa kasi na kupotelea nyuma ya duka moja ambalo lilikuwa kando. Alitembea tena kwa hatua kama kumi na tano moyo ukawa unaenda mbio, hapo akawa na uhakika kwamba mara ya kwanza tu pale aliposhtuka alipaswa kukimbia, kusubiri mpaka kuwa kwenye hali ya moyo kushtuka alikuwa amechelewa kufanya maamuzi yake. Aliona …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next