Alitoka mpaka sebuleni ambapo aliangaza kila sehemu ila hakuona cha maana chochote. Alipo geukia upande wake wa kushoto alifanikiwa kuona sehemu iliyokuwa na mlango na bila shaka alijua huo ni mlango wa kuelekea vyumbani. Baada ya kuufungua mlango huo aligundua kwamba ndani kulikuwa na vyumba viwili vya kulala. Aliingia kwenye chumba cha kwanza ila hakupata kitu cha maana chochote mpaka alipo ingia ndani ya chumba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments