Reader Settings

“Na huo ndio ukawa mwanzo wa mauti yao, niliua familia nzima bila kuacha hata ushahidi ndiyo maana mpaka leo dunia inajua ile familia ilikufa kwa ajali ya ndege ila uhalisia ni kwamba niliwaua wakiwa ndani ya ile ndege kisha nikasababisha ajali huku mimi nikipotea na parachuti” Leyla alitoa maelezo ya kumhusu Patrick Magebe, habari ambayo hata kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next