Reader Settings

Yohani alimuonyeshea ishara ya kunyanyuka akiwa amemnyooshea bastola, ofisa huyo akacheka kwa nguvu huku mdomo wake ukiwa unatoa damu kidogo;

“Huwezi kutoka humu ndani, achia bastola yako na ujisalimishe kabla haujasababisha hatari kubwa zaidi mpu……” sentensi yake ya kujiamini ilikatishwa na mlio wa risasi, risasi ilipenya kwenye kiatu chake na kukipasua kiganja ya mguu wake wa kulia, alikuwa bado ameganda akiwa haelewi hiyo risasi iliingia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next