Reader Settings

“Christian aliipenda mno shule, akiwa mdogo tu kitu cha kwanza akiamka alitaka kusoma vitabu, baba yako akamuweka mbali na nduguze ili wasimharibu mwanae wa ndoto. Ukuaji wake Christian alichukiwa na nduguze lakini angurumapo simba mcheza nani? Baba yake ndiye alikuwa mfalme wa familia nani angepinga tena? Hakuna abadani! Kumuweka mbali na ndugu zake ilikuwa ni kwa sababu ya kumkinga kutoka kwenye kuharibika. Akampeleka shule za …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next