Kwangu ilikuwa bahati ya mtende kuwa ndani ya idara, idara ambayo kila mwanajeshi kambini alikuwa akiiimba kila siku na kutamani kuwa huko ila ni mimi ambaye niliipata hiyo nafasi. Nilikumbuka nilikotoka sikutaka kufanya makosa, nilitamani kumfanya mama yule aliyenilea ajivunie huko aliko hivyo nilihitaji kufanya kazi kwa juhudi zangu zote na kweli nilitimiza hilo. Huko kwenye idara nilipewa kesi nyingi na nilizitimiza kwa asilimia zote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments