“Mzee wangu, nimewahi kupewa nasaha nyingi nikiwa bado mtoto mdogo ila kwa bahati mbaya mimi ni mtu ambaye nauishi zaidi uhalisia wangu kuliko ushauri wa watu. Naangalia moyo wangu unataka nini au kichwa changu kinaamini nini ndicho nakifanya, sijali ambacho unataka kunilazimisha nikiamini hapa kutoka kwako ila naomba unijibu nilicho kuuliza. Nakuheshimu kulingana na umri wako ni kama mzazi kwangu ila haimaanishi kwamba siwezi kukufanya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments