Reader Settings

Alikunja mkono wake wa kulia kuanza kuelekea sehemu ambayo haikuwa na kitu chochote zaidi ya miti ambayo ilikuwa imeanzia pembezoni mwa bahari na kutengeneza eneo kama nyika ya asili. Upande huo haukuwa na mtu yeyote na hilo alilithibitisha baada ya kuzipita sehemu za migahawa, pamoja na sehemu za watoto kuchezea michezo yao, kitu pekee ambacho alikuwa anakipata ni upepo wa bahari na utulivu wa sauti …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next