Ngumi kali ilirushwa kwenye uso wake, akasogea nyuma, aliteleza bila kutarajia kwani ilikuwa ni ghafla. Aliupanga mkono wake akiwa anakuja kwa hasira na jaziba kali, aliukunjua mkono wake kwa mara ya kwanza akiwa amerusha ngumi nzito ambayo iliishia kwenye tumbo la Damasi, alihisi amepiga chuma kwa sababu tumbo lilikuwa limekomaa vya kutosha. Aligeuka kwa teke moja maridadi ambalo lilitua kwenye shingo ya Damasi, mguu wake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments