Mr Ndatu, alikuwa ndani ya ofisi yake maeneo ya Posta akiwa mwingi wa tafakari ambayo ilimfanya akose raha. Kukosa kwake raha ilikuwa ni baada ya kupokea taarifa mbaya za kifo cha kijana wake ambaye alimuamini, kijana ambaye alikuwa akimsaidia kwa kiwango kikubwa ili aweze kuzitimiza ndoto zake. Kufa kwake kwa namna fulani hata yeye alijiona kuwa na hatia ya kuhusika na tatizo hilo kwani huenda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments