“CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA”, walisema hivyo wahenga, mkewe akaanza kuongelewa chini chini na watu mtaani, akaanza kuzua gumzo kila akipita mahali. Kuongelewa kwake kukamfanya kuanza kupata jina na umaarufu kwenye vinywa vya watu. Sio kila binadamu huwa anapenda kuhadithiwa, kuna watu huwa wanapenda kujionea vitu kwa kujaribu! Mke wa Joh akaingia kwenye mtego wa wanaume ambao wengine kwao pesa haikuwahi kuwa tatizo kabisa hivyo kumlipa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments