Reader Settings

Nilikichomoa kwa nguvu na kukizamisha kwenye moyo kisha nikamsindikiza kwa ngumi nzito ya shingoni, nilisikia vyema ile mifuta ikiwa inakatika. Alijibamiza kwenye ukuta akiwa anagala gala na kuhitaji msaada ila sikuwa na huruma naye, nilimfuata pale karibu na ukuta nilimtwisha goti la kifua nikauvunja uti wa mgongo ambao ulikuwa umeegamia ule ukuta! Hakuwa hai tena, nafsi ilimsaliti. Nikajua sasa amebaki mama yako ambaye nilitakiwa kudili …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next