Nikashawishika kuzidi kuchimba zaidi ili kuhitaji kujua kuhusu ile jamii! Jamii ya LUNATIC SOCIETY, ni muda mrefu ulikuwa umepita nikiwa sina taarifa zao hivyo nikaona kwamba ulikuwa muda mwafaka wa mimi kuanza kulifuatilia jambo hilo. Sikuwahi kuisikia popote tena stori ya mwanamama yule wa Urusi, IRINA ESPANOVICH. Nikapatwa na shauku ya kumtambua kwa wakati huo alikuwa wapi na anafanya nini. Sikutaka kukurupuka, niliajiri mpelelezi binafsi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments