“Hiyo picha imekutwa kwenye picha za marejeo ya kamera zilizopo katikati ya mji”
“Nakutana na kupishana na watu wengi hivyo kwakweli siwezi kujua lolote kuhusu haya ambayo yanaendelea” alitabasamu na kuzirudisha picha zake kwenye mfuko wa koti na kusimama.
“Nadhani tutakutana siku nyingine mtumishi wa Mungu” aliongea bila kusubiri nimjibu akatoweka. Sikuelewa nifanye nini, nilibaki nimechanganyikiwa, licha ya kuishi kwa ule usiri ambao binafsi nilijiaminisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments