Reader Settings

Zilirudi taarifa mbaya kutoka huko Congo kwamba kikosi cha makomando watano ambao walienda huko kwa bahati mbaya wakiwa kwenye gari, gari yao ililipuliwa na vikosi vya waasi hivyo yakarudi majivu bila watu husika. Kuna mengi yalitokea huko ila sitayaeleza haya, mtafute Issa akupatie frashi ambayo ndani yake ina kila kitu, ina taarifa za mhimu za matukio hayo namna yalivyo tokea na majina ya watu ambao …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next