Miaka mitano ilikuwa imepita tangu litokee tukio ambalo lilileta pigo kwenye jeshi la nchi. Makomando kumi ambayo walitumwa kutoa msaada pamoja na kufanya oparesheni ya ukombozi walikufa kabla ya kuanza kwa mission ambayo iliwapeleka huko na kupelekea majukumu hayo kufeli hata wananchi ambao walitakiwa kukombolewa hawakuwahi kuonekana tena. Jambo hilo baada ya kuvuja kwa waanchi lilileta mjadala mkubwa kutokana na taarifa ambazo zilipatikana zikiwa zinaeleza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments