Asubuhi wakati kunakucha, nchi iliamka na habari hizo, habari ambayo ilianza kusambaa kwa nguvu kutokana na aina ya mtu ambaye alikuwa ameitoa taarifa hiyo. Mwanasheria nguli zaidi nchi ndiye alitoa hizo taarifa, mtu ambaye jamii ilikuwa ikimuamini kwa jambo lolote ambalo lilikuwa linatoka kwenye mdomo wake. Watu walianza kutoa lawama kwa serikali hususani suala la kupotea kwa mwanasayansi mashuhuri ambaye ni miaka mingi sana ilikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments